Tarehe iliyowekwa: January 20th, 2020
Baraza la Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Mji Njombe limepitisha bajeti yenye thamani ya Shilingi Bilioni 4.1 kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kutoka Bilioni 3 kwa mwaka wa fedha 2019/2020, onge...
Tarehe iliyowekwa: November 25th, 2019
Halmashauri ya Mji Njombe imetoa mafunzo kwa Madiwani, Watendaji wa Kata, Waratibu Elimu, Maafisa Tarafa na Wakuu wa Shule za Sekondari lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo wa namna ya kusimamia mira...
Tarehe iliyowekwa: November 22nd, 2019
Halmashauri ya Mji Njombe imekabidhi trekta lenye thamani ya shilingi milioni 75 kwa muungano wa vikundi 5 vijulikanavyo kama Lusitu Agribusiness Group ikiwa ni mkopo utokanao na asilimia 10 za mapato...