Tarehe iliyowekwa: February 19th, 2021
Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dr.Ntuli Kapologwe amepongeza kasi ya ujenzi wa vituo vya afya unaofanywa na Halmashauri ya Mji Njombe ambapo mpaka sasa Halmashauri...
Tarehe iliyowekwa: January 16th, 2021
Nyumba 6 zimeezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Njombe na kusababisha maafa kwa familia 6 katika kijiji cha Ikisa kata ya Uwemba Halmashauri ya Mji N...
Tarehe iliyowekwa: January 15th, 2021
Halmashauri ya Mji Njombe imeendelea kuweka rekodi ya ufaulu Kitaifa katika matokeo ya kidato cha nne ambapo
imeweza kushika nafasi ya nne Kitaifa na kushika Nafasi ya Kwanza Kimkoa.
Akizu...