Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2025
Wakulima wa mtaa wa Mpobota - Mjimwema Halmashauri ya mji Njombe wamesisitizwa kutumia mbolea kwa usahihi na kwa kufuata maelekezo ya wataalam wa kilimo ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao.
...
Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2025
Katika jitihada za Serikali kuboresha usimamizi wa ardhi na kuhakikisha wananchi wanamiliki maeneo yao kisheria, Bw.Eligius Wella (Madebe), mkazi na mwekezaji katika kilimo cha parachichi...
Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2025
Wananchi wa Mtaa wa Mpobota, Kata ya Mjimwema,Halmashauri ya Mji Njombe wametakiwa kutumia haki yao ya kikatiba ifikapo Oktoba 29,2025 kwa kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa kumchagua Rais...