Tarehe iliyowekwa: June 11th, 2020
Halmashauri ya Mji Njombe imekabidhi meza na viti 280 vyenye thamani ya Shilingi milioni ishirini na tatu laki mbili na elfu arobaini kwa ajili ya Shule 4 za Sekondari zilizopo katika Halmashauri hiyo...
Tarehe iliyowekwa: June 6th, 2020
Akiwasilisha taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kwa Mwaka 2018/2019 Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi. Dorcas Mkello amesema kuwa Halmashauri ilipata Hati inayoridhisha (Hati S...
Tarehe iliyowekwa: April 10th, 2020
Wakizungumza mara baada ya kukagua na kutembelea mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Utalingolo kamati hiyo imebaini kuendelea kusuasua kwa ujenzi wa shule hiyo jambo ambalo linaweza kupelekea shule...