Tarehe iliyowekwa: July 25th, 2024
Uongozi wa Halmashauri ya Mji Njombe, unatambua mchango wa kila mwananchi katika maendeleo.
Aidha tunawashukuru walipa kodi,tozo na ushuru mbalimbali kwa hiari jambo ambalo limeilete...
Tarehe iliyowekwa: July 24th, 2024
Mkutano wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Robo ya nne (4) mwaka wa fedha 2023/2024 unaendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe.
Pamoja na mambo mengine wajumbe wa mkutano huu wamepitia...
Tarehe iliyowekwa: July 23rd, 2024
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Njombe Bi Kuruthum Sadick amemwomba Mwenyekiti wa Mtaa wa Mji mwema kuanzisha tena upya mchakato wa kutatua mgogoro wa ardhi kati ya Familia ya Mligiliche na S...