Tarehe iliyowekwa: June 17th, 2024
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg.Godfrey Mnzava baada ya ukaguzi wa miundombinu na nyaraka amefanya uzinduzi wa jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya mji Njombe (Kibena).
...
Tarehe iliyowekwa: June 17th, 2024
Shamba la parachichi la Mwekezaji Frank Msuya lenye ukubwa wa hekari 200 na thamani ya uwekezaji wake ikiwa ni Bilioni 1 lililopo kata ya Yakobi kijiji cha Nundu ,limekaguliwa na kuwekewa kibao cha uk...
Tarehe iliyowekwa: June 17th, 2024
Kikundi kinachojihusisha na shughuli za utunzaji na uhifadhi wa mazingira cha Wildfire and Restorartion Organization (WFRO) kilichopo kata Uwemba,Juni 17,2024 kimekabidhiwa mizinga 10 yenye...