Tarehe iliyowekwa: January 19th, 2024
Kamati ya Fedha na Utawala Januari 18,2024 imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu na afya inayotekelezwa kwenye kata ya Uwemba na Ihanga Halmashauri ya Mji Njombe.
...
Tarehe iliyowekwa: January 18th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mheshimiwa Erasto Mpete Januari 17,2024, ametoa rai kwa watendaji wote ndani ya Halmashauri ya Mji Njombe kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe....
Tarehe iliyowekwa: January 17th, 2024
Katibu Tawala Wilaya ya Njombe Ndugu Agatha Mhaiki amewataka wananchi wa kijiji cha Igoma kilichopo kata ya Iwungilo Halmashauri ya Mji Njombe kuachana na Imani za kishirikina na badala y...