Tarehe iliyowekwa: December 8th, 2022
Halmashauri ya Mji Njombe imekabidhi mradi wa vyumba vitatu vya madarasa kwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mheshimiwa Kissa Gwakisa mara baada ya kukamilika kwa asilimia 100.
Mradi huo wa Vyumba vitatu ...
Tarehe iliyowekwa: December 5th, 2022
Wananchi katika Halmashauri ya mji wa Njombe wametakiwa kuongeza juhudi za kuchangia michango ya utoaji taka ngumu katika maeneo yao kwani bila kufanya hivyo mji utakuwa na taka ambazo zinaweza kuwasa...
Tarehe iliyowekwa: December 3rd, 2022
Wajumbe wa Kamati ya fedha Halmashauri ya Mji Njombe wamekagua shughuli za ujenzi wa miradi inayoendelea katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri na kuhimiza ubora na kasi katika ukamilishaji wa miradi...