Tarehe iliyowekwa: February 14th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka awapongeza walimu wote wa Shule za msingi kwa kufanya vizuri kwenye matokeo ya darasa la saba mwaka 2024 Mkoa njombe umekuwa wa tatu kitaifa...
Tarehe iliyowekwa: February 13th, 2025
Mgogoro wa ardhi kati ya familia ya Joseph Wella, aliyewahi kuwa mkazi wa Kijiji cha Liwengi Serikali ya kijiji hicho umepatiwa maamuzi Tarehe 11 Februari 2025 na Katibu Tawala wa Wilaya ya Njombe, Bi...
Tarehe iliyowekwa: February 12th, 2025
Mgogoro wa umiliki wa Ardhi uliodumu tangu miaka 1990 na kuendelea kwa muda mrefu kati ya familia ya Likiwilike katika kijiji cha Ihanga na Iboya Kata ya Ihanga, Halmashauri ya...