Tarehe iliyowekwa: January 6th, 2025
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Njombe Mjini, Samson Medda, amewahimiza waandikishaji ngazi ya kata kusimamia kwa umakini zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura katika maeneo yao.
...
Tarehe iliyowekwa: January 1st, 2025
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Selelamani Mtibora, amewataka wadau mbalimbali wa Uchaguzi Mkoani Njombe, kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika ...
Tarehe iliyowekwa: December 21st, 2024
Kituo cha Rasilimali za Kilimo kilichopo kijiji cha Kisilo, kata ya Lugenge, Halmashauri ya Mji wa Njombe, ni miongoni mwa vituo vitakavyonufaika na matrekta mapya yaliyoletwa na Serikali kwa lengo la...