Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2024
Tarehe 11 Oktoba 2024 ,Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe Anthony Mtaka amejiandikisha kwenye orodha ya wapiga kura wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Mtaa wake wa Lunyanywi uliopo Kata ya Mji Mwema , Halma...
Tarehe iliyowekwa: October 2nd, 2024
Wananchi wa kata ya Utalingolo Halmashauri ya mji wa Njombe wamepatiwa elimu ya uchaguzi waserikali za mitaa kutoka kwa maafisa uchaguzi wasiadizi wa kata na vijiji kwa kushirikiana na diwani wa kata ...
Tarehe iliyowekwa: October 7th, 2024
Oktoba 7, 2024, Halmashauri ya Mji Njombe imesaini mikataba na kampuni ya Ingenuity Works Limited na Hamerkop International Limited kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule na huduma za afya....