Tarehe iliyowekwa: June 13th, 2023
Wazazi na walezi mkoani Njombe wametakiwa kutoa kipaumbele kwenye suala la lishe bora ili kuondokana na udumavu.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. David Ntai...
Tarehe iliyowekwa: June 9th, 2023
Wakulima wa zao la Parachichi Halmashauri ya Mji Njombe wamepatiwa mafunzo ya namna ya utunzaji Wa maua na matunda ya parachichi.
Elimu Hiyo imetolewa kwa wakulima Juni 09,2023 na Idara ya kilimo, ...
Tarehe iliyowekwa: June 8th, 2023
Mafunzo kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata mkoa wa Njombe yamemalizika kwa nasaha za utendaji kazi bora kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Njombe Mhe Antony Mtaka.
Mkuu wa Mkoa Mtaka amezungumza...