Tarehe iliyowekwa: January 25th, 2024
Watumishi ajira mpya Halmasahuri ya Mji Njombe Januari 25,2024 wamepewa mafunzo maalumu yakuwatambulisha kwenye utumishi wa Umma .
Mafunzo hayo yanalenga kuwapatia uelewa wa sheria ,...
Tarehe iliyowekwa: January 19th, 2024
Kamati ya Fedha na Utawala Januari 18,2024 imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu na afya inayotekelezwa kwenye kata ya Uwemba na Ihanga Halmashauri ya Mji Njombe.
...
Tarehe iliyowekwa: January 18th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mheshimiwa Erasto Mpete Januari 17,2024, ametoa rai kwa watendaji wote ndani ya Halmashauri ya Mji Njombe kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe....