Tarehe iliyowekwa: October 19th, 2025
"KURA YAKO HAKI YAKO JITOKEZE KUPIGA KURA"
Vituo vitakavyotumika kupiga kura ni vituo vilivyotimika wakati wa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura la Tume Huru ya Taifa y...
Tarehe iliyowekwa: October 15th, 2025
Kila mwananchi aliyejiandikisha ana haki yakupiga kura kumchagua kiongozi unayemtaka.
Hakikisha Oktoba 29,2025 siku ya Jumatano unajitokeza kwenda kupiga kura.
Unapokwenda kitu...
Tarehe iliyowekwa: October 11th, 2025
Wakulima wa mtaa wa Mpobota - Mjimwema Halmashauri ya mji Njombe wamesisitizwa kutumia mbolea kwa usahihi na kwa kufuata maelekezo ya wataalam wa kilimo ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao.
...